Psalms 139:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wakuasi kwa ubaya, Adui zako wakutaja jina lako bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wanaokusema kwa ubaya, na kutenda maovu juu ya jina lako bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio wanaokutaja tu, wapate kuuficha ukorofi wao; kwa kuwa wabishi wako, hujivuna bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wakuasi kwa ubaya, Adui zako wakutaja jina lako bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako!