Psalms 139:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Bwana nisiwachukie wanaokuchukia? Nisikirihike nao wakuasio?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! BWANA nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiudhike nao watu wanaokuasi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachukizwao na wewe, Bwana, nisiwachukie? Nao wakuinukiao nisitapishwe nao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! BWANA nisiwachukie wanaokuchukia? Nisikirihike nao wakuasio?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ninawachukia wanaokuchukia; ninawazarau sana wale wanaokuasi!