Psalms 139:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawachukia kwa ukomo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawachukia kwa upeo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninawachukia kwa uchukivu usiosaza hata kidogo, ninawatazama kuwa adui zangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawachukia kwa ukomo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zako ni waadui zangu; ninawachukia kabisa kabisa.