Psalms 139:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uangalie kama mwenendo wangu ni mbaya, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uangalie kama mwenendo wangu ni mbaya, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uangalie kama mwenendo wangu ni mbaya, uniongoze katika njia ya milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, kama nimeshika njia iendayo kwenye maumivu, unishikishe njia iendayo kwenye kuwapo kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uangalie kama mwenendo wangu ni mubaya, uniongoze katika njia ya milele.