Psalms 139:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watambua nikienda au nikipumzika; wewe wazijua shughuli zangu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watambua nikienda au nikipumzika; wewe wazijua shughuli zangu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watambua nikienda au nikipumzika; wewe wazijua shughuli zangu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kma ninakwenda au ninalala, unanivumbua, njia zangu zote zimekuelekea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikienda au nikipumzika, unatambua; wewe unajua shuguli zangu zote.