Psalms 139:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hamna neno katika ulimi wangu Usilolijua kabisa, BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hakuna neno, ulimi wangu utakalolisema, usilokwisha kulijua lote, wewe Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele sijasema neno lolote, wewe, ee Yawe, unalijua kabisa.