Psalms 139:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umenizingira nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma na mbele umenifungia, ukanibandikia mkono wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; unaniwekea mukono wako kwa kunilinda.