Psalms 139:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni ya kustaajabu, sitaweza kuyatambua, ni mambo makuu, sitaweza kuyafumbua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ufahamu wako unapita akili yangu; ni mukubwa sana, siwezi kuuelewa.