Psalms 139:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningekwenda kupaa mbinguni, wewe uko; kama ningekwenda kulala kuzimuni, wewe uko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikipanda juu mbinguni, wewe ni kule; nikijilaza chini katika kuzimu, wewe ni kule.