Psalms 139:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikipanda juu kwa mabawa ya mapambazuko, nikikaa pande za mbali za bahari,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningetumia mionzi ya jua kuwa mabawa yangu, nikaja kukaa mapeoni kwenye bahari,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikiruka mpaka mbali sana upande wa mashariki, au hata kwa miisho upande wa magaribi,