Psalms 14:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja; hakuna atendaye mema, naam! Hata mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wamepotoka, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pamoja wamepotelewa na njia, wote ni waovu, hakuna anayefanya mema; hakuna hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna anayetenda mazuri, hakuna hata mumoja.