Psalms 14:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, watendao maovu kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti Mwenyezi Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wote wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawamwiti Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, watendao mabaya hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti BWANA?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti bwana?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wote wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawamwiti BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wale wote wafanyao maovu hawataki kujitambua, wao wanaowala walio ukoo wangu, kama walavyo mkate? Lakini Bwana hawamtambikii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wote wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawamwiti BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanaotenda maovu hawajui kitu? Wanatafuna watu wangu kama mikate, wala hawajali Yawe.