Psalms 14:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watashikwa na hofu kubwa, maana Mungu yu pamoja na waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wako hapo, wameingiwa na hofu kuu, maana Mungu yupo pamoja na wenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watashikwa na hofu kubwa, maana Mungu yu pamoja na waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo ndipo walipo, wameingiwa na hofu nyingi, maana Mungu yupo pamoja na wenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wako hapo, wameingiwa na hofu kuu, maana Mungu yupo pamoja na wenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ndipo waovu watakaposhikwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watashikwa na hofu kubwa, maana Mungu yu pamoja na waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Patafika, watakapotetemeka kwa kustuka, kwani Mungu yuko kwao walio wazao waongokao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo watashikwa na hofu, maana Mungu ni pamoja na watu wa haki.