Psalms 14:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unaweza kuvuruga mipango ya maskini, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi watenda maovu mnakwamisha mipango ya maskini, bali Mwenyezi Mungu ndiye kimbilio lao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge, Bali Bwana ndiye aliye kimbilio lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unaweza kuvuruga mipango ya maskini, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, bali BWANA ni kimbilio lao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, bali bwana ndiye kimbilio lao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnaiharibu mipango ya mtu mnyonge, Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unaweza kuvuruga mipango ya maskini, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shauri la mnyonge mnalibezesha, kwa maana Bwana ndiye, anayemjetea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge, Bali BWANA ndiye aliye kimbilio lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kuvuruga mipango ya masikini, lakini Yawe ndiye kimbilio lake.