Psalms 14:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mwenyezi-Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti wokovu wa Israeli ungekuja kutoka Sayuni! Mwenyezi Mungu anaporejesha wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! Bwana awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mwenyezi-Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati BWANA arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati bwana arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti wokovu wa Israeli ungetoka katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mwenyezi-Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Laiti mwokozi wake Isiraeli atokee Sioni, Bwana awarudhishe mateka walio wa ukoo wake! Ndipo, Yakobo atakaposhangilia, ndipo, Isiraeli atakapofurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Sayuni! Yawe atakapotengeneza hali ya watu wake, wazao wa Yakobo watashangilia; watu wa Israeli watafurahi.