Psalms 140:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uniokoe na mtu mbaya, Unihifadhi na mtu wa jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uniokoe kutoka kwa watu waovu. Unihifadhi kutoka kwa watu wajeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kwenye watu wabaya niopoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uniokoe na mtu mbaya, Unihifadhi na mtu wa jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.