Psalms 140:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makaa ya moto yawaangukie, watupwe motoni, Na katika mashimo, wasipate kusimama tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makaa ya moto yawaangukie, watupwe motoni, Na katika mashimo, wasipate kusimama tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sumu zao wanizungukao nazo njama zao, walizozisema za kupotoa, na ziwarudie wenyewe na kuwafunika!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makaa ya moto yawaangukie, watupwe motoni, Na katika mashimo, wasipate kusimama tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanaonizunguka wanainua vichwa; uovu wa maneno yao uwapate wao wenyewe!