Psalms 140:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaowasengenya wengine wasifanikiwe katika nchi; uovu uwapate wakatili na kuwaangamiza mara!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msingiziaji hatawekwa imara katika nchi, Mtu wa jeuri, uovu humwinda kumwangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaowasengenya wengine wasifanikiwe katika nchi; uovu uwapate wakatili na kuwaangamiza mara!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasingiziaji na wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msingiziaji hatawekwa imara katika nchi, Mtu wa jeuri, uovu humwinda kumwangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaowasengenya wengine wasifanikiwe katika nchi; uovu uwapate wakatili na kuwaangamiza mara!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na awanyeshee mvua ya makaa ya moto! Na awakumbe, waanguke, motoni namo mashimoni, wasiweze kabisa kuinuka tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msingiziaji hatawekwa imara katika nchi, Mtu wa jeuri, uovu humwinda kumwangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe katika mashimo, wasiinuke tena.