Psalms 140:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua Mwenyezi-Mungu hutetea kisa cha wanaoteswa, na kuwapatia haki maskini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Najua kwamba Mwenyezi Mungu huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Najua ya kuwa Bwana atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua Mwenyezi-Mungu hutetea kisa cha wanaoteswa, na kuwapatia haki maskini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Najua kwamba BWANA huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Najua kwamba bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua Mwenyezi-Mungu hutetea kisa cha wanaoteswa, na kuwapatia haki maskini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu mwenye masingizio hatashikizwa katika nchi, mtu mwenye makorofi mabaya na yamkimbize, mpaka aangamie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaosingizia wengine wasifanikiwe katika inchi; uovu uwapate watesaji wakali na kuwaangamiza bila kukawia!