Psalms 140:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika waadilifu watalisifu jina lako; wanyofu watakaa kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika waadilifu watalisifu jina lako; wanyofu watakaa kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika waadilifu watalisifu jina lako; wanyofu watakaa kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninajua, ya kuwa Bwana atamwamulia aliye mnyonge, nayo mashauri ya wakiwa atayanyosha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua kwamba Yawe anatetea wamasikini na kuwapatia wakosefu haki.