Psalms 140:14 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaolishukuru Jina lako kweli ndio waongofu, nao wanyokao mioyo watakaa usoni pako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika watu wa haki watasifu jina lako; watu wa usawa watakaa kwako.