Psalms 140:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hao huwaza mabaya daima, huzusha magomvi kila mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliowaza mabaya mioyoni mwao, Kila siku huondokesha vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hao huwaza mabaya daima, huzusha magomvi kila mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao na kuchochea vita siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliowaza mabaya mioyoni mwao, Kila siku huchochea vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hao huwaza mabaya daima, huzusha magomvi kila mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nilinde, watu wenye makorofi wasinijie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliowaza mabaya mioyoni mwao, Kila siku huondokesha vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watesaji wakali.