Psalms 140:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndimi zao hatari kama za nyoka; midomoni mwao mna maneno ya sumu kama ya joka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamenoa ndimi zao kama nyoka, Sumu ya fira i chini ya midomo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndimi zao hatari kama za nyoka; midomoni mwao mna maneno ya sumu kama ya joka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka imo midomoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamenoa ndimi zao na kuwa kama za nyoka, Na katika midomo yao mna sumu ya fira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndimi zao hatari kama za nyoka; midomoni mwao mna maneno ya sumu kama ya joka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio wanaowaza mabaya mioyoni mwao, nao hufanya magomvi kila siku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamenoa ndimi zao kama nyoka, Sumu ya fira i chini ya midomo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao wanafikiri mabaya siku zote, wanaamusha ugomvi kila mara.