Psalms 140:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unilinde na mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na mtu wa jeuri; Waliowaza kuzipotosha hatua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unilinde na mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na watu wajeuri; Waliopanga kuniangusha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamezinoa ndimi zao, ziwe kama za nyoka, sumu ya pili imo midomoni mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unilinde na mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na mtu wa jeuri; Waliowaza kuzipotosha hatua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndimi zao ni hatari kama za nyoka; ndani ya midomo yao kuna maneno ya sumu kama ya piri.