Psalms 140:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye kiburi wamenitegea mitego, wametandaza kamba kama wavu, wameficha mitego njiani wanikamate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, wametandaza kamba za wavu wao, wametega mitego kwenye njia yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya njia; Wameniwekea matanzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye kiburi wamenitegea mitego, wametandaza kamba kama wavu, wameficha mitego njiani wanikamate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, wametandaza kamba za wavu wao, wametega mitego kwenye njia yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, wametandaza kamba za wavu wao, wametega mitego kwenye njia yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya njia; Wameniwekea matanzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye kiburi wamenitegea mitego, wametandaza kamba kama wavu, wameficha mitego njiani wanikamate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niangalie, Bwana, mikono yao wasiokucha isinikamate! Nilinde, watu wenye makorofi wasinijie! Ndio wawazao, jinsi watakavyonikumba, nije kujikwaa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya njia; Wameniwekea matanzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watesaji wakali ambao wamepanga kuniangusha.