Psalms 140:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee Mwenyezi Mungu, usikie kilio changu na kunihurumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemwambia Bwana, Ndiwe Mungu wangu; Ee Bwana, uisikie sauti ya dua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee BWANA, usikie kilio changu na kunihurumia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee bwana, usikie kilio changu na kunihurumia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemwambia BWANA, Ndiwe Mungu wangu; Ee BWANA, uisikie sauti ya dua zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye majivuno wamenitegea matanzi na nyugwe, wakanitandikia nyavu kandokando ya njia, wakaiweka nayo mitego yao, waninase.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemwambia BWANA, Ndiwe Mungu wangu; Ee BWANA, uisikie sauti ya dua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye kiburi wamenitegea mitego, wametandika kamba kama wavu, wameficha mitego katika njia wanikamate.