Psalms 140:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, mkombozi wangu mkuu, umenikinga salama wakati wa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mungu Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, unikingaye kichwa changu siku ya vita:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu, Umenifunika kichwa changu siku ya vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, mkombozi wangu mkuu, umenikinga salama wakati wa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, unikingaye kichwa changu siku ya vita:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, unikingaye kichwa changu siku ya vita:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu, Umenifunika kichwa changu siku ya vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu, mkombozi wangu mkuu, umenikinga salama wakati wa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikamwambia Bwana: Wewe ndiwe Mungu wangu! Bwana, zisikilize sauti za malalamiko yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu, Umenifunika kichwa changu siku ya vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamwambia Yawe: “Wewe ni Mungu wangu.” Usikilize, ee Yawe, sauti ya ombi langu.