Psalms 140:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana uliye Bwana wangu mwenye nguvu, u wokovu wangu, unakikingia kichwa changu siku za mapigano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Bwana wangu, mukombozi wangu mukubwa, umenikinga salama wakati wa vita.