Psalms 140:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanaonizingira wanainua vichwa; uovu wa maneno yao uwapate wao wenyewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zilizosababishwa na midomo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wainuapo vichwa watu wanaonizunguka, Madhara ya midomo yao yawafunike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanaonizingira wanainua vichwa; uovu wa maneno yao uwapate wao wenyewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vichwa vya wanaonizunguka na vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wainuapo vichwa watu wanaonizunguka, Madhara ya midomo yao yawafunike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanaonizingira wanainua vichwa; uovu wa maneno yao uwapate wao wenyewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wasiokucha usiwape wanayoyatamani! Wala usiwamalizie mashauri yao mabaya, wasijivune!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wainuapo vichwa watu wanaonizunguka, Madhara ya midomo yao yawafunike.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, usiwape waovu vitu wanavyotaka, wala mipango yao mibaya usiifanikishe.