Psalms 141:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninakuita, njoo kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, ninakuita wewe, uje kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninakuita wewe, uje kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nimekuita, unijie upesi! Isikilize sauti yangu, nikikuita!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: Zaburi ya Daudi. Ninakulilia, ee Yawe, ukuje haraka kunisaidia! Usikilize sauti yangu wakati ninapokuita!