Psalms 141:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wanaswe katika mitego yao wenyewe, wakati mimi najiendea zangu salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wabaya na waanguke katika nyavu zao wenyewe, Pindi mimi ninapopita salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wanaswe katika mitego yao wenyewe, wakati mimi najiendea zangu salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wabaya na waanguke katika nyavu zao wenyewe, Wakati ninapopita salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wanaswe katika mitego yao wenyewe, wakati mimi najiendea zangu salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiokucha sharti wanaswe wote pamoja na nyavu zao wenyewe, lakini mimi nipe, nizipite kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wabaya na waanguke katika nyavu zao wenyewe, Pindi mimi ninapopita salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanaswe katika mitego yao wenyewe, wakati mimi ninaponyoka.