Psalms 141:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maombo yangu na yapande kufika kwako kama moshi wa uvumba! Kipaji changu cha tambiko cha jioni ni mikono, nikuinuliayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upokee maombi yangu kama ubani; ninapoinua mikono yangu kwako, unikubali kama sadaka ya magaribi.