Psalms 141:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu ukilinde kinywa changu, uweke ulinzi mlangoni mwa mdomo wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, weka mlinzi kinywani mwangu, weka ulinzi mlangoni mwa midomo yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu ukilinde kinywa changu, uweke ulinzi mlangoni mwa mdomo wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, weka mlinzi kinywani mwangu, weka ulinzi mlangoni mwa midomo yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, weka mlinzi kinywani mwangu, weka ulinzi mlangoni mwa midomo yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu ukilinde kinywa changu, uweke ulinzi mlangoni mwa mdomo wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, ukiwekee mlinzi hiki kinywa changu, angoje penye huu mlango wa midomo yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ulinde kinywa changu, uweke mulinzi kwenye mulango wa kinywa changu.