Psalms 141:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unikinge nisielekee kufanya mabaya, nisijishughulishe na matendo maovu; nisijiunge na watu watendao mabaya, wala nisishiriki kamwe karamu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiuache moyo wangu uvutwe katika jambo baya, nisije nikashiriki katika matendo maovu pamoja na watu watendao mabaya, wala nisije nikala vyakula vyao vya anasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unikinge nisielekee kufanya mabaya, nisijishughulishe na matendo maovu; nisijiunge na watu watendao mabaya, wala nisishiriki kamwe karamu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiuache moyo wangu uvutwe katika lililo baya, nisije nikashiriki katika matendo maovu pamoja na watu watendao mabaya, wala nisije nikala vyakula vyao vya anasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiuache moyo wangu uvutwe katika jambo baya, nisije nikashiriki katika matendo maovu pamoja na watu watendao mabaya, wala nisije nikala vyakula vyao vya anasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unikinge nisielekee kufanya mabaya, nisijishughulishe na matendo maovu; nisijiunge na watu watendao mabaya, wala nisishiriki kamwe karamu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiugeuze moyo wangu kuelekea neno baya, nikijitendea matendo ya kukubeza pamoja nao wafanyao maovu, nisije kula vilaji vyao, ijapo viwe vya urembo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unikinge nisielekee kufanya mabaya, nisijishugulishe na matendo maovu, nisijiunge na watu wanaotenda mabaya, wala nisishiriki hata kidogo katika karamu zao.