Psalms 141:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wao watakapopondwa miambani, ndipo watatambua maneno yangu yalikuwa sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watawala wao watatupwa chini kutoka majabali, waovu watajifunza kwamba maneno yangu yalikuwa kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makadhi wao wakiangushwa kando ya genge, Watayasikia maneno yangu, maana ni matamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wao watakapopondwa miambani, ndipo watatambua maneno yangu yalikuwa sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watawala wao watatupwa chini kutoka kwenye majabali, waovu watajifunza kwamba maneno yangu yalikuwa kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watawala wao watatupwa chini kutoka kwenye majabali, waovu watajifunza kwamba maneno yangu yalikuwa kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wao wakiangushwa kando ya genge, Watayasikia maneno yangu, maana ni matamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wao watakapopondwa miambani, ndipo watatambua maneno yangu yalikuwa sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waamuzi wao watakapokuwa wameangushwa magengeni, ndipo, watakapoyasikia maneno yangu, ya kuwa ni mazuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makadhi wao wakiangushwa kando ya genge, Watayasikia maneno yangu, maana ni matamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wao watakapopondwa juu ya mawe, ndipo watatambua kwamba maneno yangu yalikuwa mazuri.