Psalms 141:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mifupa yao itatawanywa mdomoni pa Kuzimu kama kuni zilizopasuliwa vipandevipande!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama kupasua kuni na kuzichanja juu ya nchi, Ndivyo ilivyo mifupa yetu mdomoni pa kuzimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mifupa yao itatawanywa mdomoni pa Kuzimu kama kuni zilizopasuliwa vipandevipande!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama kupasua kuni na kuzichanja juu ya nchi, Ndivyo ilivyo mifupa yetu mdomoni pa kuzimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mifupa yao itatawanywa mdomoni pa Kuzimu kama kuni zilizopasuliwa vipandevipande!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama vilivyo hapo, mtu alipolima na kuchimbachimba, ndivyo, mifupa yetu ilivyotawanyika kwenye lango la kuzimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama kupasua kuni na kuzichanja juu ya nchi, Ndivyo ilivyo mifupa yetu mdomoni pa kuzimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mifupa yao itatawanywa kwenye midomo ya kuzimu kama kuni zilizopasuliwa vipandevipande!