Psalms 141:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali mimi nakutegemea, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; ninakimbilia usalama kwako, usiniache hatarini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yangu yanakuelekea Wewe, MUNGU Bwana, Nimekukimbilia Wewe, usiniache nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali mimi nakutegemea, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; ninakimbilia usalama kwako, usiniache hatarini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee BWANA Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee bwana Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yangu yanakuelekea Wewe, MUNGU Bwana, Nimekukimbilia Wewe, usiniache bila kinga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali mimi nakutegemea, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; ninakimbilia usalama kwako, usiniache hatarini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe, Bwana Mungu, ndiwe unayetazamiwa na macho yangu, nimekukimbilia wewe, usiimwage roho yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yangu yanakuelekea Wewe, MUNGU Bwana, Nimekukimbilia Wewe, usiniache nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ninakutegemea, ee Yawe, Mungu wangu; ninakimbilia kwako, usiniache katika hatari.