Psalms 141:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unikinge na mitego waliyonitegea, uniepushe na matanzi ya hao watu waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unilinde na mtego walionitegea, Na matanzi yao watendao maovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unikinge na mitego waliyonitegea, uniepushe na matanzi ya hao watu waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unilinde na mtego walionitegea, Na kutoka kwa matanzi ya watendao maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unikinge na mitego waliyonitegea, uniepushe na matanzi ya hao watu waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niangalie, nisinaswe na tanzi, walilonitegea, wala nisikamatwe na kamba zao wafanyao maovu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unilinde na mtego walionitegea, Na matanzi yao watendao maovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unikinge na mitego waliyonitegea, uniepushe na wavu wa hao watu waovu.