Psalms 142:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Utenzi wa Daudi alipokuwa pangoni. Sala) Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namlilia Mwenyezi Mungu kwa sauti, napaza sauti yangu kwa Mwenyezi Mungu anihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sauti yangu nitamlilia Bwana, Kwa sauti yangu nitamwomba Bwana dua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi Wa Daudi Alipokuwa Pangoni. Maombi) Namlilia BWANA kwa sauti kubwa, nainua sauti yangu kwa BWANA anihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namlilia bwana kwa sauti, nainua sauti yangu kwa bwana anihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sauti yangu nitamlilia BWANA, Kwa sauti yangu nitamwomba BWANA dua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napaza zauti, nimlilie Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sauti yangu nitamlilia BWANA, Kwa sauti yangu nitamwomba BWANA dua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi ya Daudi alipokuwa ndani ya pango.