Psalms 142:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
namlalamikia Bwana na kupaza sauti yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamulilia Yawe kwa sauti kubwa, ninamusihi Yawe kwa sauti kubwa.