Psalms 142:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninapokaribia kukata tamaa kabisa, yeye yupo, anajua mwenendo wangu. Maadui wamenitegea mitego njiani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho yangu inapozimia ndani yangu, wewe ndiwe unajua njia zangu. Katika njia ninayopita, watu wameniwekea mtego.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninapokaribia kukata tamaa kabisa, yeye yupo, anajua mwenendo wangu. Maadui wamenitegea mitego njiani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati roho yangu inapozimia ndani yangu, wewe ndiwe unajua njia zangu. Katika njia ninayopita watu wameweka mtego kwa ajili yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati roho yangu inapozimia ndani yangu, wewe ndiwe unajua njia zangu. Katika njia ninayopita watu wameniwekea mtego.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho yangu inapozimia unayajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninapokaribia kukata tamaa kabisa, yeye yupo, anajua mwenendo wangu. Maadui wamenitegea mitego njiani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbele yake nayamwaga machozi yangu, nayo masongano yangu nayatangaza mbele yake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamutolea malalamiko yangu, ninamwelezea taabu zangu.