Psalms 142:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikiangalia upande wa kulia na kungojea, naona hakuna mtu wa kunisaidia; sina tena mahali pa kukimbilia, hakuna mtu anayenijali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama kuume kwangu na uone, hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. Sina kimbilio, hakuna anayejali maisha yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utazame mkono wa kuume ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikiangalia upande wa kulia na kungojea, naona hakuna mtu wa kunisaidia; sina tena mahali pa kukimbilia, hakuna mtu anayenijali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama kuume kwangu na uone, hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. Sina kimbilio, hakuna anayejali maisha yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama kuume kwangu na uone, hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. Sina kimbilio, hakuna anayejali maisha yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utazame mkono wangu wa kuume ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikiangalia upande wa kulia na kungojea, naona hakuna mtu wa kunisaidia; sina tena mahali pa kukimbilia, hakuna mtu anayenijali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu ikitaka kuzimia kifuani mwangu, wewe unaujua mwenendo wangu, jinsi ulivyo. Njiani nipitapo wamenitegea matanzi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utazame mkono wa kuume ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho yangu inaporegea kabisa, yeye yuko, anajua mwenendo wangu. Waadui wamenitegea mitego katika njia ninayopita.