Psalms 142:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu! Wewe ni kimbilio langu la usalama; wewe ni riziki yangu kuu katika nchi ya walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nakulilia wewe, nasema, “Wewe ni kimbilio langu, fungu langu katika nchi ya walio hai.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu! Wewe ni kimbilio langu la usalama; wewe ni riziki yangu kuu katika nchi ya walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, nakulilia wewe, nasema, “Wewe ni kimbilio langu, fungu langu katika nchi ya walio hai.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nakulilia wewe, nasema, “Wewe ni kimbilio langu, fungu langu katika nchi ya walio hai.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu! Wewe ni kimbilio langu la usalama; wewe ni riziki yangu kuu katika nchi ya walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukitazama kuumeni utaona, hakuna anikaguaye. Nimepotelewa na kimbilio, hakuna aniulizaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikiangalia kwa kuume kwangu na kungojea, ninaona hakuna mutu wa kunisaidia; sina tena nafasi ya kukimbilia, hakuna mutu anayenijali.