Psalms 142:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikilize kilio changu, maana nimekuwa hoi; uniokoe na watesi wangu, maana wamenizidi nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza kilio changu, kwa sababu mimi ni mhitaji sana; niokoe na wale wanaonifuatilia, kwa kuwa wamenizidi nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukisikilize kilio changu, Kwa maana nimedhilika sana. Uniponye nao wanaonifuatia, Kwa maana wao ni hodari kuliko mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikilize kilio changu, maana nimekuwa hoi; uniokoe na watesi wangu, maana wamenizidi nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikiliza kilio changu, kwa sababu mimi ni mhitaji sana; niokoe na wale wanaonifuatilia, kwa kuwa wamenizidi nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza kilio changu, kwa sababu mimi ni mhitaji sana; niokoe na wale wanaonifuatilia, kwa kuwa wamenizidi nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukisikilize kilio changu, Kwa maana nimedhilika sana. Uniponye kutoka kwao wanaonifuatia, Kwa maana wao ni hodari kuliko mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikilize kilio changu, maana nimekuwa hoi; uniokoe na watesi wangu, maana wamenizidi nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekupalizia sauti, Bwana, nikasema kwamba: Wewe u kimbilio langu na fungu langu nchini kwao walio hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukisikilize kilio changu, Kwa maana nimedhilika sana. Uniponye nao wanaonifuatia, Kwa maana wao ni hodari kuliko mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia wewe, ee Yawe! Wewe ni kimbilio langu; wewe ni hitaji langu lote katika inchi ya wenye uzima.