Psalms 142:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nifungue kutoka kifungo changu, ili niweze kulisifu jina lako. Ndipo wenye haki watanizunguka, kwa sababu ya wema wako kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nifungue kutoka katika kifungo changu, ili niweze kulisifu jina lako. Ndipo wenye haki watanizunguka, kwa sababu ya wema wako kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nifungue kutoka kifungo changu, ili niweze kulisifu jina lako. Ndipo wenye haki watanizunguka, kwa sababu ya wema wako kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unitoe humu kifungoni, ili nipate kukushukuru. Watu waadilifu watajiunga nami kwa sababu umenitendea mema mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaangalie malalamiko yangu! Kwani nimekorofika sana. Niopoe kwao wanikimbizao! Kwani nguvu zao hunishinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikilize kilio changu, maana nimetabanika sana; uniokoe kutoka watesaji wangu, maana wamenizidi nguvu.