Psalms 142:8 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itoe roho yangu kifungoni, ilishukuru Jina lako! Waongofu watanizunguka, ukinitendea mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniondoe humu katika kifungo, kusudi nipate kukushukuru, nikijiunga na watu wa haki kwa sababu ya vyote ulivyonitendea.