Psalms 143:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, kwa hisani yako, uniondoe katika taabu kwa sababu ya uadilifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, kwa haki yako nitoe katika taabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unihuishe kwa ajili ya jina lako, Kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, kwa hisani yako, uniondoe katika taabu kwa sababu ya uadilifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, kwa haki yako nitoe katika taabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, kwa haki yako nitoe katika taabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uniponye kwa ajili ya jina lako, Kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, kwa hisani yako, uniondoe katika taabu kwa sababu ya uadilifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kwa ajili ya Jina lako nirudishe uzimani! Kwa ajili ya wongofu wako nitoe katika masongano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unihuishe kwa ajili ya jina lako, Kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinde uzima wangu, ee Yawe, kwa ajili ya jina lako, uniondoe katika taabu, kwa ajili ya haki yako.