Psalms 143:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usinitie hukumuni mimi mtumishi wako, maana hakuna yeyote aliye mwadilifu mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimhukumu mtumishi wako, kwa kuwa hakuna mtu aliye hai mwenye haki mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala usimhukumu mtumishi wako, Maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usinitie hukumuni mimi mtumishi wako, maana hakuna yeyote aliye mwadilifu mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimhukumu mtumishi wako, kwa kuwa hakuna mtu anayeishi mwenye haki mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimhukumu mtumishi wako, kwa kuwa hakuna mtu anayeishi aliye mwenye haki mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala usimhukumu mtumishi wako, Maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usinitie hukumuni mimi mtumishi wako, maana hakuna yeyote aliye mwadilifu mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usije kwa mtumishi wako, upate kumhukumu! Kwani kwao wote walio hai hakuna aliye mwongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala usimhukumu mtumishi wako, Maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usinitie katika hukumu mimi mutumishi wako, maana hakuna yeyote anayekuwa mwenye haki mbele yako.