Psalms 143:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimevunjika moyo kabisa; nimekufa ganzi kwa ajili ya woga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu unakata tamaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na roho yangu imezimia ndani yangu, Moyo wangu ndani yangu umesituka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimevunjika moyo kabisa; nimekufa ganzi kwa ajili ya woga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu unakata tamaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu unakata tamaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na roho yangu imezimia ndani yangu, Moyo wangu ndani yangu umeshtuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimevunjika moyo kabisa; nimekufa ganzi kwa ajili ya woga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu ikataka kuzimia kifuani mwangu, moyo wangu humu mwilini ukaguiwa na kituko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na roho yangu imezimia ndani yangu, Moyo wangu ndani yangu umesituka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho yangu imeregea kabisa; moyo wangu unaugua.