Psalms 143:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakunyoshea mikono yangu kuomba; nina kiu yako kama nchi kavu isiyo na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nanyoosha mikono yangu kwako, nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakunyoshea mikono yangu; Nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakunyoshea mikono yangu kuomba; nina kiu yako kama nchi kavu isiyo na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nanyosha mikono yangu kwako, nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nanyoosha mikono yangu kwako, nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakunyoshea mikono yangu; Nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakunyoshea mikono yangu kuomba; nina kiu yako kama nchi kavu isiyo na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikakunyoshea mikono yangu, roho yangu ikakutunukia kama nchi kavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakunyoshea mikono yangu; Nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakunyooshea mikono yangu. Ninakuhitaji wewe, kama inchi kavu inavyohitaji mvua.